Jaji Juan Merchan ameiambia mahakama kwamba ameamua kumwachiliwa bila masharti kuwa ndio "hukumu, bila kuingilia ofisi ya juu zaidi ya nchi." Ambia Hirsi, Mariam Mjahid & Rashid Abdallah Na hapa ndio ...
Kamati maalum imebuniwa kupanga kuapishwa kwa Kithure Kindiki kama Naibu Rais mpya nchini Kenya. Na Lizzy Masinga & Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Kamati maalum imebuniwa kupanga kuapishwa kwa ...
Kwa mujibu wa katiba, rais mteule anapaswa kuapishwa Jumanne ya kwanza inayoangukia kipindi cha wiki mbili baada ya kutangazwa rasmi iwapo hakuna kesi yoyote ya kupinga matokeo itakayowasilishwa ...
Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu ametoa wito kwa wapinzani kuungana naye, baada ya uchaguzi uiliokuwa na ushindani ambao vyama vya upinzani vinatafuta namna ya kuupinga kwa kudai uligubikwa na ...